Nikimuona Diamond na kina Kiba na wanamuziki wengine wakila bata najua ni mziki wao unawalipa. Ila kuna hawa watu maarufu huko Instagram kama kidada fulani Tunda na wengine,
Hebu jamani kama wapo humu watuambie kazi zao maana hata kulalama njaa kama wengine wanaolialia hawasikiki.
Tafakuri tu japo ni maisha ya watu hayanihusu
video Ya tunda Akiwa Na diamond Hotelin B0fyaa Pich Hp chn kuiona ni shida
Post a Comment