Nimekuwa nikisikia kila mara kuwa siku hizi kuna biashara ya uchangudoa Sinza. Basi jana kama saa 2 usiku nilikuwa natoka Mlimani city, nikaona nikatize barabara ya Mori Sinza. Nikiwa natembea kwa miguu nakaribia bar ya Meeda nikaanza wasichana na nguo fupi kando ya barabara.
Kuna msichana alikuwa amekaa chini karibu na nguzo ya umeme, nikampita bila kumsalimia. Mara akaniita "samahani kaka naomba usimame", alisema yule dada kwa upole.
Kwanza nilitaka kumpuuza, lakini nikaona nimsikilize. Akanisogelea nami nikamuuliza unasemaje? "Twende tukato.....ne" alisema yule dada bila wasiwasi. Mh! Nikawa na wasiwasi, nisije nikaanza discussion kumbe ametegeshea watu waje kunipora. Nikasema hapana na kuondoka.
Wakati naendelea mbele nikazidi kuona visichana kumbe ndio viko kwenye biashara. Nilipofika pale Sinza Mori, karibu na Oil Com, nikaona wasichana kama 20 hivi wamejipanga wakionyesha mapaja nje, duh!
Kumbe hii biashara imerasimishwa Bongo?

Video Ya Jinsi wadada Wakijiuza b0nyzaaa pch Hp Chin
Post a Comment