Kila mtu hapa ulimwenguni ameumbwa na sifa tofauti tofauti. Kuna wengine wameumbwa na tabia za kuridhisha na wengine wameumbwa na tabia ambazo hazifurahishi. Hii pia inajitokeza katika wanawake. Katika mahusiano, utapata kuwa wanawake wanakuwa na tabia ambazo aidha zinawapendeza wanaume wao ama zinawachukiza.
Ok. Katika kuangalia tabia za wanawake, tumekuja na orodha ya wanawake ambao kama mwanamume unafaa kuwa chonjo nao kwani watayafanya maisha yako ya mahusiano kuwa ya balaa. Labda sahizi uko katika mahusiano ya muda mrefu na mpenzi wako ama sahizi uko mbioni unatafuta, kuwa macho na aina hii ya wanawake ambao wanaweza kukuharibia ama kukuletea shida
katika mahusiano yako nao mbeleni.
1. Mwanamke anayekuganda nguoni
2. Mwanamke aliyepagawa kimapenzi
3. Mtumiaji
4. Mwanamke asieomba msamaha
5. Mlalamishi
6. Asiyejielewa
7. Anayetawala na kutotosheka
8.Mwenye maoni ya ukashifu wakati wote
9. Nusa Nusa
10. Asi na maono
11. Mcheza ndondi
12. Mtoto wa mama
Hii ni baadhi ya tabia za wanawake ambazo mwanamume yeyote anafaa kuwa chonjo kwani mwishoni wanaweza kuleta taabu ambazo zitakuwa vigumu kutatua...Video Ya Jinsi Ya Kumuandaa Mdada Kabla Ya tendo b00ny3zaa pich hp chin kuiona
Post a Comment