0

1. SALLAM: 'Alikiba kama amekosea yeye anatakiwa kuomba radhi mashabiki wake na Promota, pia aombe Mungu next time kila kitu kiende vizuri'

2. SALLAM: 'Wakati Alikiba anatumbuiza sikuwepo kabisa ktk stage hata karibu sikuwepo, nilikuepo ktk stage wakati CB na Wizkid wakitumbuiza'

3. SALLAM: 'Alikiba kauliza kwanini nilikuwepo show ya Mombasa, kitu anatakiwa kujua mimi sio meneja wa Diamond pekee, nina mengine nafanya'

4. SALLAM: 'Alikiba kama ana chuki na Diamond aangalie jinsi gani anaweza kuzimaliza kuliko kila kitu kusema Meneja wa Diamond au Diamond'

5. SALLAM: 'Sikuwepo peke yangu kwenye show ya Mombasa, Sauti Sol na meneja wao,Bebe Cool pia walikuwepo lakini hawakualikwa kutumbuiza'

6. SALLAM: 'Alikiba alichelewa kupanda kwenye stage kwa lisaa lizima tofauti na alivyopangiwa, timu ya CB ndio iliyomtoa kwenye stage'

7. SALLAM: 'Nataka kuweka wazi Alikiba hata akiniona back stage asiwe na wasiwasi sababu tutakutana MTVmama Oct 22 South Africa, asiogope'

8. SALLAM: 'Alichosema Alikiba sijataka kubishana nae nimechukulia changamoto, nimemsamehe kwa roho safi na sina kinyongo nae'

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top