0
Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu Tanzania, Joseph Mungai amefariki dunia jioni hii, taarifa za awali kwa mujibu wa kituo cha television cha ITV  zinasema amekutwa na umauti baada ya kuanza kutapika mfululizo, familia imedia kuwa tatizo hilo limemkuta baada ya kudaiwa kula kitu kibaya.


Geofrey Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuanza kutapika mfululizo na kudhaniwa kwamba alikuwa amekula kitu kibaya.

Post a Comment

 
Top